Foot and Mouth Disease

Inside of cows mouth suffering from foot and mouth disease.
Photo Credit ZooLink/ILRI

About F&M

Foot & Mouth disease is highly contagious and transmitted via inhalation or ingestion of virus from contaminated feeds, animals, meat, milk, semen and ticks. 

It can also be contacted by contamination from cars and people from infected areas. 

Symptoms

This disease causes severe lameness, blisters between toes, on teats and on tongue, high fever rapid loss of condition, long ropey strings of saliva. Abortion is common

Prevention

From age 2 weeks vaccinate every 6 months for Foot and Mouth disease. Different strains exist. Consult your veterinarian on the choice of vaccine.

To help animals heal, shade them from sun, give water, soft green grass and molasses for energy. Call Vet to prevent infection of blisters with antibiotics if necessary.

Disinfecting premises and motor vehicle tyres where F&M has occurred with suitable disinfectant.

Burn the feed and beddings of infected animals. Make sure to have foot dips with suitable disinfection for visitors. Make sure they use them!

Separate all sick animals and give them tender loving care.

NOTICE!

Foot and Mouth Disease is a NOTIFIABLE disease. This means you MUST report this disease to your DVO immediately to stop spread in community.

Kiswahili-Foot and Mouth Disease

About F&M

Ugonjwa ambukizi huenezwa kupitia kuvuta pumzi au kumeza virusi kutoka kwa lishe,wanyama,nyama, shahawa, kupe na mapagari kutoka maeneo yalioambukizwa.

Ugonjwa wa Foot and Mouth pia unaweza kuambukizwa kupitia magari yaliyo na uchafu wa maambukizi na watu kutoka maeneo ambayo yameadhiriwa.

Symptoms

Ulemavu mkali,uvimbe katikati ya vidole,kwa matiti na ulimi,joto kali, afya kudhoofika, kutokwa na mate ndefu na uavyaji mimba huwa kawaida. Mjulishe DVO.

Prevention

Kuanzia umri wa wiki ya pili mpe chanjo kila miezi 6 kwa ugonjwa ya Foot and Mouth. Pata ushauri kutoka kwa vet kuhusu chajo inayofaa.

Wasaidie mifugo kupona,waweke kwa kivuli wape maji,nyasi laini na molasses iwape nguvu.Dunga sindano ya intramuscular antibiotic izuie maambukizi uvimbeni

Eua na dawa inayofa majengo na matairi za gari ambazo magonjwa ya Foot and Mouth yametokea. Choma lishe na malazi ya mifugo walioambukizwa.

Choma lishe na malazi ya mifugo walioambukizwa. Hakikisha kuwa una dawa ya kueua miguu na dawa inayofaa wageni kutumia kujieua.Hakikisha wameitumia

NOTICE!

Foot and Mouth ni ugonjwa ambao unafaa kuripotiwa.Yamaanisha kuwa LAZIMA uripoti ugonjwa huu kwa DVO haraka iwezekanavyo ili kuizua kuenea katika eneo lenu

Content provided by Zoonotic and Emerging Diseases Group (ZED) University of Liverpool, International Livestock Research Institute (ILRI), Zoonoses in Livestock in Kenya (ZooLink)

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *